Polisi wanawazuilia watu 10 waliohusishwa na wizi

  • | Citizen TV
    2,718 views

    Maafisa wa polisi eneo la Kasarani hapa Nairobi wanawazuilia washukiwa kumi wanaoaminika kuhusika na wizi katika karakana kadhaa na kupora mali. Katika kanda za CCTV, washukiwa wamerekodiwa katika visa tofauti na sasa uchunguzi wa polisi unaendelea.