Hisia mbalimbali kuhusu sanamu jijini Eldoret

  • | Citizen TV
    3,330 views

    Kabla ya pilka pilka za leo, wafanyakazi wa kaunti ya Uasin Gishu pamoja na wasimamizi wa mji wa eldoret, jana usiku walilazimika kuondoa sanamu zilizowekwa kuashiria baadhi ya wanariadha tajika nchini. Hii ni baada ya malalamishi mitandaoni kuhusu namna sanamu hizo zilivyokuwa zimetengezwa.