Hafla maalum kwa walioshiriki riadha yaandaliwa

  • | Citizen TV
    423 views

    Ilikuwa siku ya furaha na mbwembwe pale wanamichezo wa kenya walioshiriki mashindano ya olimpiki jijini Paris, ufaransa walikoandaliwa hafla maalum na Rais William Ruto katika ikulu ya Eldoret.