Mfanyabiashara apoteza pesa baada ya kutoka benki

  • | Citizen TV
    13,830 views

    Maafisa wa usalama eneo la Mlolongo wanachunguza kisa ambapo mfanyibiashara mmoja alipoteza shilingi milioni 1.7 kwa wezi wanaodaiwa kumfuata baada ya kutoa fedha hizo kutoka kwenye benki. Kamera za CCTV zimeonyesha jinsi mfanyibiashara huyo alifuatwa kutoka benki moja hadi Syokimau ambapo walivunja kioo cha gari lake kabla ya kuiba pesa alizokuwa ameweka kwenye sanduku