Ahadi ya Yanga kupata uwanja ipo pale pale

  • | BBC Swahili
    48,054 views
    Enger. Hersi Said @caamil_88 ni rais wa klabu ya @yangasc ya nchini Tanzania amezungumza na Omari Mkambala kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo ahadi ya Yanga kupata uwanja. #bbcswahili #tanzania #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw