Visa vya uhalifu vyaongezeka Kipsitet, Soin Sigowet

  • | Citizen TV
    118 views

    Wakazi wa Kipsitet eneo bunge la Soin Sigowet kaunti ya Kericho, walifanya maandamano ya amani kulalamikia utovu wa usalama katika eneo hilo.