Opiyo Wandayi Akaribishwa Nyumbani Kwao Ugunja

  • | NTV Video
    798 views

    Viongozi waliochaguliwa na wafuasi wa Waziri wa Nishati na Petroli na mwanachama wa ODM Opiyo Wandayi wamemiminika nyumbani kwa Waziri huyo Ugunja kwa hafla ya kutoa shukrani ya kuteuliwa kwake hii leo.