Moses Kuria ampokeza waziri mpya wa Utumishi wa umma chini Justin Muturi

  • | NTV Video
    827 views

    Moses Kuria ambaye alihudumu kama waziri wa utumishi wa umma chini ya miezi 11 amempokeza mikoba waziri mpya katika wizara hiyo Justin Muturi . Mpito huo unatarajiwa kuonyesha ulaini wa kufanya akzi kutoka enzi moja hadi nyingine. Haya yanajiri baada ya jopo la kuwateuwa mawaziri kupitisha uteuzi wa Justin Muturi baada ya kupigwa msasa kwa mawaziri 22 wa wizara mbalimbali. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya