Familia ya Haret Ali Khalif yataka serikali imtafute

  • | Citizen TV
    194 views

    Familia moja kutoka eneo la Hulugho kaunti ya Garissa, inalilia haki baada ya kudai jamaa wao ametekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama.