Korti maalumu ya watoto kuanzishwa katika mahakama ya Kapenguria ili kuboresha haki za watoto

  • | NTV Video
    37 views

    Korti maalumu ya watoto kuanzishwa katika mahakama ya Kapenguria kaunti ya Pokot Magharibi ili kuboresha haki za watoto wanaokabiliwa na kesi za unajisi, ndoa za mapema, na ukeketaji. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya