Waathiriwa wa mafuriko ya Kisumu wasema hawajapata msaada wa serikali

  • | Citizen TV
    516 views

    Zaidi ya familia elfu moja kutoka kijiji cha Nduru kaunti ya Kisumu zimesalia kuishi kwenye mahema, miezi mitatu baada ya kufurushwa na mafuriko kutoka makwao.. Waathiriwa hawa sasa wakisema kuwa serikali iliwaahidi fidia.