Viongozi wa kidini wapendekeza mikakati ya kushughulikia siha ya kiakili kwa waathiriwa wa ujahili

  • | NTV Video
    37 views

    Viongozi wa kidini wamependekeza kuwekwa kwa mikakati ya kushughulikia siha ya kiakili kwa waathiriwa wa ujahili, kutoka maeneo yaliyoathirika na visa vya wizi wa mifugo Kaskazini mwa nchi. Wakizungumza katika warsha iliyowaleta pamoja waathiriwa kutoka maeneo tofauti nchini, waathiriwa wa hali hiyo walionekana kusongwa na mawazo kutokana na mzigo wa makovu ya ujahili wanaubeba Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya