Chama cha KNUT chatangaza mgomo baada ya siku 7

  • | Citizen TV
    448 views

    Muungano wa walimu KNUT sasa umetoa notisi ya mgomo wa kitaifa kwa walimu wote kuanzia Agosti 25. Katibu mkuu wa knut collins oyuu amesema muungano huo umeweka wazi matakwa yote na kumtaka mkurugenzi mkuu wa tume ya TSC Nancy Macharia kuwajibika la sivyo hakuna masomo katika muhula wa tatu.