Mwathiriwa wa maandamano auguza majeraha ya risasi

  • | Citizen TV
    2,416 views

    Roy Mwaniki mwenye umri wa miaka 27 bado anauguza majeraha mabaya baada ya kupigwa na polisi wakati wa maandamano ya nane nane. Kanda ya video ilionyesha roy akijikokota huku akiwa anavuja damu usoni kufuatia kichapo hicho