Serikali kusuluhisha masuala ya jadi ya ardhi hapa nchini

  • | KBC Video
    25 views

    Serikali imeahidi kusuluhisha masuala ya jadi ya ardhi na kuimarisha haki za umiliki wa ardhi humu nchini. Akiongea wakati wa hafla ya kutoa hati miliki 1,348 katika eno la Mosiro, Narok mashariki kaunti ya Narok. Waziri wa ardhi Alice Wahome alisema serikali imejitolea kufanya mageuzi katika umiliki wa ardhi ,kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na utulivu wa kijamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive