Kalonzo ashikilia kwamba hatayumbishwa na mawimbi ya kisiasa

  • | K24 Video
    433 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameshikilia kwamba hatayumbishwa na mawimbi ya kisiasa. kinara huyo anasema atasimama kidete na kupigania haki za vijana wa Gen-Z. kalonzo vilevile amesema kuwa vyama vyote vya kisiasa nchini vitalazimika kuzingatia sheria ya uwakilishi wa thuluthi moja ya jinsia moja katika shughuli ya mchujo wakati wa uchaguzi.