Wadau wa elimu waitaka jamii ya Samburu kukumbatia elimu

  • | Citizen TV
    209 views

    Wadau wa elimu wanadai kuwa Kaunti ya Samburu imesalia nyuma kimaendeleo kutokana na viwango vya chini vya elimu. wadau hao wakitoa wito Kwa jamii ya wafugaji ya Wasamburu kuhakikisha wanawapa elimu Wana wao kama njia Maja wapo ya kuisaidia Kaunti hiyo katika siku za usoni