Wakulima wapinga bei ya chini ya miwa Kericho

  • | Citizen TV
    368 views

    Wakulima wa miwa katika kaunti ya Kericho wamelalamikia Bei duni ya miwa huku wakiapa kutoendelea kuuza miwa kwa viwanda Hadi bei ya awali irudishwe