Bei ya samaki yashuka Kiunga, Lamu kutokana na Changamoto za usafiri

  • | Citizen TV
    839 views

    Wavuvi wa Kiunga eneo lililoko Mpakani mwa KENYA NA Somalia kaunti ya Lamu wanalazimika kuuuza samaki wao hadi shilling 100 kwa kilo kutokana na Changamoto za usafiri.Hii ni baada ya barabara ya Kiunga kwenda Hindi kufungwa kutokana na tishio la ugaidi.