'Maumivu niliyopata baada ya kuingia kwenye maji yalikuwa na afadhali'

  • | BBC Swahili
    1,928 views
    Safari ya kujifungua huwa tofauti kwa kila mwanawake, na husheheni uchungu na maumivu kwa viwango tofauti. Wakati mwingine hali inaweza kuwa mbaya na kusababisha kifo cha mama au mtoto. Lakini wataalamu wamekuwa wakijaribu mbinu za kupunguza vifo na pia uchungu, na moja ya mapendekezo ni kujifungulia kwenye maji. Hatua hii imekuwa ikifanyika katika nchi tofauti, ikiwemo Tanzania, hapa tunamuaangazia mkunga Agness Ndunguru @midwifeaggie ambaye amekuwa akisaidia wanawake wajawazito kujifungua kwa njia hii. Mwandishi wa BBC Lizzy Masinga amekutana naye na kuandaa taarifa hii 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #mamawajawazito Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw