Wizara ya Afya yaondolea mbali hofu ya ugonjwa wa Mpox nchini

  • | Citizen TV
    462 views

    Wizara ya afya sasa imeondolea mbali wasiwasi kuhusiana na ugonjwa wa mpox, ulioripotiwa kuwa hatari Afrika. Waziri wa afya Daktari Deborah Barasa akisema kuwa watu takriban 30 waliopimwa kwa dalili za ugonjwa huo wamepatikana kuwa salama. Wizara hii pia ikisema kuwa serikali itaanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huu wa mpox kufikia mwisho wa mwaka huu