Punda mwigo kutumiwa kwenye majaribio ya ki-elimu

  • | KBC Video
    24 views

    Mkavazi ya kitaifakwa ushirikiano na taasisi ya mafunzo ya ufugaji ya Wajir yamezindua mbinu bunifu ya vikaragosi vya punda kutumika katika utoaji mafunzo kwa wanafunzi wanaosomea taaluma ya matibabu ya mifugo katika kaunti ya Wajir.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive