Kapu La Biashara: Taarifa za ghulio

  • | KBC Video
    38 views

    Shirika la ndege la Kenya Airways linasema limeanza kupata faida baada ya kunakili hasara kwa mwongo mmoja. Kampuni hiyo imeandikisha faida ya shilingi milioni 513 katika kipindi cha nusu mwaka ikilinganishwa na hasara ya shilingi bilioni 21.7 iliyonakiliwa katika kipindi sawia mwaka uliopita. Shirika hilo linasema faida hiyo ya asilimia 22 imechangiwa na nyongeza ya mapato iliyokusanya hadi shilingi bilioni 91 kufuatia ongezeko la abiria kwa asilimia 10. Taarifa zaidi ni kwenye kitengo chetu cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive