Kongamano la kujadili changamoto za kupata mbegu bora za mimea lafanyika kwa mara ya kwanza Nairobi

  • | Citizen TV
    206 views

    Shirika la kutathmini ubora wa mimea nchini (KEPHIS ) limeandaa kongamano la kwanza la kimataifa la kujadili changamoto za kupata mbegu bora za mimea.