Mwanasheria mkuu Dorcas Oduor aapishwa katika hafla ya ikulu ya rais

  • | Citizen TV
    1,473 views

    Mwanasheria mkuu Dorcas Pduor ameapishwa mapema leo katika ikulu ya Nairobi katika hafla ambayo iliongozwa na Rais William ruto na kuhudhuriwa na wakuu wa idara ya mahakama na serikali. Dorcas anachukua hatamu ya uongozi baada ya kupigwa msasa na kuidhinishwa wiki iliyopita.