Jimi Wanjigi anatuhumiwa kwa kumiliki bunduki bila kibali

  • | Citizen TV
    3,166 views

    Mwanasiasa na mfanyibiashara Jimi Wanjigi amefikishwa katika mahakama ya Milimani kufunguliwa mashtaka ramsi kuhusiana na kumiliki bunduki bila leseni