Waziri Hassan Joho awaonya wanyakuzi wa ardhi baharani akisema chuma chao ki motoni

  • | NTV Video
    378 views

    Waziri wa madini na uchumi wa bahari Hassan Joho amewaonya wanyakuzi wa ardhi karibu na fuo za bahari akisema chuma chao ki motoni. Baadhi ya ardhi hizi ni zile za kupokea samaki, zikidaiwa kuwa zimevamiwa na kunyakuliwa na mabwenyenye. Joho aidha amesema wizara yake itashirikiana na asasi za kiusalama kuwaandama wote waliotekeleza uhalifu wakiuchumi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya