Maisha baada ya kifo: Kuhifadhi mbegu za kiume za wanaouawa Israeli

  • | BBC Swahili
    2,948 views
    Takriban 14% ya wanaume wote wa Israeli waliouawa katika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na vita dhidi ya Gaza vilivyofuata walikuwa wametolewa mbegu za kiume kwenye miili yao na kuhifadhiwa. Hii ni takribani mara 15 zaidi ikilinganishwa na kipindi kama hicho katika miaka iliyopita. Idadi hii inayoongezeka ya wazazi wa Israeli wanaotaka kuhifadhi mbegu za kiume za watoto wao, inaibua masuala magumu ya kisheria na maadili. #bbcswahili #israel #benkiyambeguzakiume #uzazi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw