- 47 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mwanamuziki Damian Soul aeleza juu ya nyimbo yake mpya na tamasha la muziki New York | VOA Swahili
- - BBC News Swahili ››
- 27 Nov 2024 - Officers from the Wajir Township Police Station, who were patrolling the town, arrived quickly and discovered Senior Sergeant Lonzi Joseph, a member of the Department of Defence (DoD) stationed in Wajir, as the victim of the attack.
- 27 Nov 2024 - Police in Kirinyaga are looking for a miraa driver who was involved in a road accident where he knocked down two children aged 12 and 7 years at Ngurubani, along –Mwea-Embu highway on Tuesday night.
- 27 Nov 2024 - Over 2,000 residents of Lamu have filed an application at the Milimani Law court seeking to be enjoined in a land dispute matter in Manda.
- 27 Nov 2024 - The November 20 bombshell indictment in New York accused billionaire industrialist founder Gautam Adani and multiple subordinates of deliberately misleading international investors as part of the bribery scheme.
- 27 Nov 2024 - Senior constable Kristian White was called to the nursing home in May 2023 as Clare Nowland -- who displayed symptoms of dementia -- slowly roamed the halls with a steak knife.
- 27 Nov 2024 - Somalia's government on Tuesday said it will not recognise the re-election of the southern Jubaland region's leader, highlighting a growing rift with its semi-autonomous states.
- 27 Nov 2024 - Donald Trump threatened to begin his presidency with a massive trade war -- and diplomatic crisis -- as he demanded China, Canada and Mexico stop illegal immigration and drug smuggling into the United States or face punitive US import tariffs.
- 27 Nov 2024 - The clarification came amidst a public backlash against the Members of Parliament.
- 27 Nov 2024 - Ceasefire to begin in Israel-Hezbollah war
- 27 Nov 2024 - Ruto steps up bid to secure Raila's backyard as their union blossoms