Ripoti: Waendesha bajaj ndiyo sababu ya nyingi ya ajali za barabarani

  • | VOA Swahili
    653 views
    Kulingana na Ripoti ya Usalama Barabarani ya Kumasi iliyotolewa na taasisi ya Bloomberg Initiative for Road Safety and Partners, waendesha tuk-tuk/ bajaj ndiyo sababu ya nyingi za ajali za barabarani na vifo katika jiji la Kumasi nchini Ghana. Madereva wanasema waendesha bajaj ni hatari kutokana na kupuuza kwa makusudi kanuni za msingi za barabarani. Lakini bado, kuhitajika kwa huduma zao kunaendelea kuwaweka barabarani. Sikiliza ripoti ya Mwandishi wa VOA Edmond Agyei Kumi kutoka Kumasi, Ghana. #ripoti #ajali #barabarani #kumasi #ghana #bloomberg #tuktuk #bajaj #voa #voaswahili