- 299 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA I AFYA YA AKILI KWA WANAUME AFRIKA
- - AFRICA TRADING COIN ››
- 15 Jan 2025 - Puritans may also argue that this robs the rite of its sting, given the reasons for which it was/is traditionally practised.
- 15 Jan 2025 - More than four dozen men have been arrested in India for the repeated sexual abuse of a teenager over years, police told AFP Wednesday.
- 15 Jan 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has flown to Mozambique to attend President Daniel Francisco Chapo's inauguration on Wednesday morning.
- » Hashtags, memes, emails, songs... Kenyans are revolutionising online protest with no sign of slowing down15 Jan 2025 - Scroll Kenyan X and TikTok feeds these days and you might not go on for long before you come across videos and posts with the hashtags #RutoMustGo, #FreeSo-and-so, and #EndAbductionsKe.
- 15 Jan 2025 - Nairobi Senator Edwin Sifuna holds that political leaders close to President William Ruto are living in angst over the shrinking chances of getting a second term in office.
- 15 Jan 2025 - Impeached South Korean leader Yoon Suk Yeol was arrested on Wednesday over his failed martial law bid, ending a weeks-long standoff with authorities and becoming the first president to be detained in the nation's history.
- 15 Jan 2025 - Renowned lawyer and Senior Counsel Judy Thongori has died.
- 15 Jan 2025 - Muracia, who was appointed by former Deputy President Rigathi Gachagua to the commission established by President William Ruto, has faced allegations of exploiting organizational gaps to misappropriate resources.
- 15 Jan 2025 - Eight people have died in Tanzania following an outbreak of suspected Marburg Virus Disease (MVD) in the Kagera region, with health officials advising against any travel and trade restrictions with Tanzania.
- 15 Jan 2025 - Drama unfolded outside Wang'uru law courts in Mwea, Kirinyaga after a woman demanded the arrest and arraignment of a suspect in a Ksh.30 million fraud case who has failed to appear before court for plea taking for the last two years.