“Tumehangaika hospitali mbalimbali lakini sikubahatika kuona”

  • | BBC Swahili
    320 views
    Leila Nassoro Likame ni mzaliwa kwanza kwenye familia ya watu nane ambao wote hawaoni isipokuwa mama yao tu. Kwa sasa Leila ana miaka 46 na ni mama wa watoto watano ambao kati ya hao wawili wa kiume pia wanauoni hafifu na inapofika wakati wa jioni huwa hawaoni kabisa. Licha ya kutokuona, Leila na wadogo zake hutumia muda mwingi kusuka ukili wakiamini kuomba omba ni tabia tu ya mtu. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds aliwatembelea nyumbani kwao kibaha mkoa wa Pwani na kuandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw