Mahakama Nakuru; mashahidi watatu watoa ushahidi kwenye kesi wa ubadhirifu wa billioni moja

  • | NTV Video
    146 views

    Mashahidi watatu zaidi wametoa ushahidi katika mahakama ya Nakuru kuhusiana na kesi ya ubadhirifu wa shilingi bilioni moja ya udhamini wa elimu ya juu. Kesi hiyo dhidi ya seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago na watu wengine wawili inaendelea

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya