'Nimejifunza kusaini jina langu na kuhesabu hadi 100'

  • | BBC Swahili
    404 views
    Wanawake wawili wenyeji katika eneo la Punjab nchini India wanathibitisha kwamba umri haupaswi kuwa kizuizi cha kupata elimu. Wameanzisha shule ya wazee katika kijiji chao, ambapo watu wazima wambao hawakuwahi kupata fursa ya kwenda shule sasa wanajifunza kuandika majina yao na kuhesabu hadi 100 kwa mara ya kwanza. Elimu haina mwisho #bbcswahili #elimu #wazee Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw