Simon Kipkosgei alenga kuandikisha matokeo mema katika mbio za Berlin Marathon

  • | NTV Video
    80 views

    Baada ya kutekeleza kwa mafanikio makubwa, kibarua cha kuongoza mwendo katika mbio za masafa marefu za Berlin mwaka uliopita, Simon Kipkosgei analenga sasa kuandikisha matokeo mema katika makala ya mwaka huu ya mbio hizo baada ya kupewa fursa ya kushiriki mbio hizo kikamilifu, zitakazoandaliwa tarehe 29 mwezi huu wa septemba. mwanaspoti wetu Steve Keter na mengi zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya