- 166 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA: Changamoto za uraibu au dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika jamii.
- 15 Jan 2025 - The Vatican has approved new guidelines from Italian bishops that allow gay men to enter seminaries as long as they abstain from sex, in an unexpected adjustment to how the global Catholic Church considers possible future priests.
- 15 Jan 2025 - Patients at the Kenyatta National Hospital on Wednesday stormed the Ministry of Health offices to lament the lack of operationalization of the Social Health Authority.
- 15 Jan 2025 - A journalist in Kajiado County has been ordered to pay a Ksh.100,000 fine lest he face imprisonment for four months, after being found in contempt of court in a defamation case involving State House Comptroller, Katoo Ole Metito.
- 15 Jan 2025 - Wiper leader Kalonzo Musyoka has called for President William Ruto to resign over the recent wave of abductions that has also affected key political figures such as Public Service CS Justin Muturi whose son was abducted and later released.
- 15 Jan 2025 - Wiper leader Kalonzo Musyoka has announced the immediate expulsion of Dadaab Member of Parliament Farah Maalim from the opposition political outfit following his recent remarks.
- 15 Jan 2025 - Kenyan ruling government is facing a similar debacle, and it is threatening an extended stay for President William Ruto at the nation's helm.
- 15 Jan 2025 - Motor insurance underwriter Directline Assurance is targeting additional policyholders this year on the backdrop of a positive growth last year according to Acting Principal Officer Sammy Kanyi. De…
- 15 Jan 2025 - Puritans may also argue that this robs the rite of its sting, given the reasons for which it was/is traditionally practised.
- » CS Wahome pays touching tribute to renowned family lawyer Judy Thongori following her death in India15 Jan 2025 - Lands Cabinet Secretary Alice Wahome joined other Kenyans in mourning prominent Kenyan lawyer and women’s rights advocate Judy Thongori who passed away on Tuesday evening January 14, 2025, after a brief illness. In a statement on Wednesday, January 15,…
- 15 Jan 2025 - They said restricting counties to offer bursaries will end the education of thousands of learners