- 1 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU: Mwimbaji na mtangazaji kutoka Tanzania Mwijaku azungumzia muziki wake
- - Duniani Leo ››
- 27 Nov 2024 - Donald Trump threatened to begin his presidency with a massive trade war -- and diplomatic crisis -- as he demanded China, Canada and Mexico stop illegal immigration and drug smuggling into the United States or face punitive US import tariffs.
- 27 Nov 2024 - Sauti Sol band member, Chimano, has released a brand new single titled “Monster” alongside a music video. The track is a feel-good Afro House / Dance song written, produced by DTX and co-written by Chimano that delves into the essence of someone's true…
- 27 Nov 2024 - PS also pointed out that the government has put in place a regulatory framework to manage labour migration, with the primary objective of protecting Kenyan workers from exploitation abroad.
- 27 Nov 2024 - Arsenal got back to winning ways in the Champions League with a commanding 5-1 victory over Sporting at Estadio Jose Alvalade. Gabriel Martinelli tapped home from Jurrien Timber's low cross as Mikel Arteta's side went in front early on. They doubled the…
- 27 Nov 2024 - It will cost Kenyans more to acquire birth and death certificates after the State effected new fees for various services offered by the State Department of Immigration and Citizen Services.
- 27 Nov 2024 - The Kenya Coalition of Church Alliances and Ministries (KCCAM) wants President William Ruto to stop making more promises and concentrate on delivery of campaign promises he made.
- 27 Nov 2024 - Former employees of the National Health Insurance Fund (NHIF) will know their fate with the Social Health Authority in six months.
- 27 Nov 2024 - Ruto steps up bid to secure Raila's backyard as their union blossoms
- 27 Nov 2024 - Quality will take you far, only if you have patience
- 27 Nov 2024 - MPs question Sh1b refurbishment of DP residence under Gachagua