Sensa ya wanyamapori yakiendelea takwimu yaonyesha upungufu wa nafasi za wanyamapori

  • | NTV Video
    232 views

    Taasisi ya utafiti wa wanyama pori inaendelea na sensa ya wanyamapori eneo la bonde la ufa na magharibi mwa nchi huku takwimu za mapema zikionyesha kupunngua kwa nafasi za wanyama pori kutokana na kugawanyika kwa ardhi na ongezeko la wanadamau pembeni mwa maeeneo ya hifadhi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya