Serikali ya Kiambu yaondoa bili ya milioni 4 hospitalini baada ya wagonjwa 60 kushindwa kulipa

  • | NTV Video
    465 views

    Zaidi ya milioni 4 ambayo ilikuwa bili iliyotakiwa kulipwa na wagonjwa takriban 60 katika hospitali ya Thika level 5 kaunti ya Kiambu imeondolewa. Hii ni baada ya serikali ya kaunti hiyo kutoa uamuzi huo kutokana na msongamano wa wagonjwa katika hospitali huku wengi wakishindwa kulipa bili hiyo kubwa .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya