- 4 views
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wamejitokeza kupinga kubuniwa kwa jopo la wanachama 129 kutathmini mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu. wanafunzi hao wanasema vikao vya kamati hiyo ni njama ya serikali kupoteza muda na kuendelea kutekeleza mfumo huo wanaodai ni adui mkubwa kwa maendeleo katika sekta ya elimu hasa kwa wasiojiweza. Ni kuwa wanafunzi hao wametoa makataa ya siku 14 suluhu ipatikane la sivyo waanze mgomo
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wajitokeza kupinga kubuniwa kwa jopo la wanachama 129
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles
- 30 Nov 2024 - 2027: Year of judgement for broken promises, litany of lies
- 30 Nov 2024 - Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
- 30 Nov 2024 - Ugandan opposition leader was hounded out of Nairobi and court-martialed on charges of carrying an illegal gun.
- 30 Nov 2024 - Insiders disclose that plan to attack the ex-DP could have been set in motion a day before the burial.
- 30 Nov 2024 - Raila to appear in a televised debate alongside his rivals for the AUC chairmanship election.