Wanafunzi Kajiado waelimshwa kuzuia ndoa za mapema

  • | Citizen TV
    247 views

    Ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi miongoni mwa vijana ni kiini cha ongezeko la maambukizi mapya ya ukimwi, mimba za utotoni, na dhulma za kijinsia. Nancy Kering amejumuika na vijana kutoka Kajiado ya Kati na Mashariki ambao wamehamasishwa kutumia Sanaa ya kuigiza na densi kufanya kampeni kuhusu maambukizi mapya ya ukimwi miongoni mwa vijana.