- 506 viewsVideo iliyochukuliwa na kamera inayovaliwa mwilini iliyobandikwa Jumatatu katika mtandao wa Facebook inaonyesha kukamatwa kwa mtu anayeshukiwa kwenye jaribio la kumuua Donald Trump. Kanda hiyo ya video ilibandikwa na Ofisi ya Mkuu wa Polisi ya Kaunti ya Martin inamuonyesha Ryan Routh akitembea kinyumenyume huku mikono yake ikiwa kichwani pembeni ya barabara kabla ya kufungwa pingu na kuchukuliwa na polisi. Picha hizo zilitolewa na Ofisi ya Sheriff wa Kaunti ya Martin, Florida, maafisa wa polisi walimkamata Ryan Routh, mtu anayeshukiwa katika jaribio la kumuua Donald Trump, Jumapili, Septemba 15, 2024. (AP). #trump #assassination #voa
Mshukiwa wa jaribio la kumuua Trump akikamatwa
- 22 Apr 2025 - Pope Francis died of a stroke, causing a coma and "irreversible" heart failure, according to his death certificate released by the Vatican on Monday.
- 22 Apr 2025 - The papacy journey started with St. Peter, he who Christ christened as the rock of the Church.
- 22 Apr 2025 - Pope Francis touched down at the Jomo Kenyatta International Airport, minutes after 4 p.m. on the 25th of November, 2015, to a warm reception by the then President Uhuru Kenyatta.
- 22 Apr 2025 - Climate Scientists at the Igad Climate Predictions and Applications Center (ICPAC) are predicting that more than usual rainfall expected over most parts of Tanzania, Burundi, Rwanda, eastern Kenya, northern South Sudan and southern Sudan. “Moderate…
- 22 Apr 2025 - Role of Commissioner for Cooperatives questioned in Kuscco Sh13b saga
- 22 Apr 2025 - The inconvenient truth about devolution, the environment
- 22 Apr 2025 - Mwangangi named SHA boss as Ingasira takes over in Finance
- 22 Apr 2025 - Goodbye Pope: Pontiff hailed as moral icon and voice of the voiceless
- 22 Apr 2025 - Ruto takes Kenya's wishlist to Beijing as trade winds shift
- 22 Apr 2025 - MPs failed women by approving Cheptumo's nomination as CS