Watu wawili wafikishwa mahakamani Garsen, baada ya kujihusisha na biashara ya pembe za ndovu

  • | NTV Video
    79 views

    Watu wawili walifikishwa katika mahakama ya Garsen, kaunti ndogo ya Tana Delta kaunti ya Tana River kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya pembe za ndovu kinyume na sheria. Bosco Thoya Katana na Emmanuel Kazungu Birya walifikishwa mbele ya hakimu mkuu mkaazi wa mahakama hio Jambi Wasige na kukanusha madai hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya