Mbio za nyika za Chepsaita kufanyika hapo kesho katiba kaunti ya Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    216 views

    Mbio za nyika za Chepsaita zitafanyika hapo kesho katiba kaunti ya Uasin Gishu. Hii leo mamia ya wanariadha wanajiandikisha kushiriki mbio hizo. Wanaridha kutoka mataifa 10 wanatazamiwa kushiriki, huku Viongozi mbalimbali wa serikali wakitarajiwa kuhudhuria.