Bibi wa miaka 86 afurahiwa Ibiza

  • | BBC Swahili
    0 views
    Kutana na Margaret Dillon mwenye umri wa miaka 86 ambaye anathibitisha kuwa "umri ni namba tu". Bibi huyo kutoka Middlesbrough, kaskazini-mashariki mwa Uingereza, alienda Ibiza huko kusherehekea ndoa za wajukuu wake Zoe Ferguson na mume wake Mark huko Picha Yake akiwa na mtu mashuhuri wa Uingereza Wayne Lineker huko Ibiza ilisambaa kwenye mtandao wa Instagram. Dillon anasema "ataishi hadi miaka 200" na anasema "anapenda maisha". #bbcswahili #uingereza #ibiza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw