Viongozi wa kidini wapinga mswada wa udhibiti

  • | Citizen TV
    335 views

    Viongozi Wa kidini chini ya Muungano Wa Maaskofu jijini Nakuru wanapinga mswada uliowasilishwa bungeni unaolenga kudhibiti madhehebu na hata kuwatoza ushuru.