Manispaa ya Kitengela yaweka mapipa ya takataka

  • | KBC Video
    16 views

    Manispaa ya Kitengela imeshirikiana na wizara ya mazingira kushughulikia mamalmishi ya wafanyibiashara mjini humo kuhusu mrundiko wa takataka ambao pia umeziba mifereji ya kusafirisha maji taka. Manispaa hiyo imeweka mapipa ya takataka katika maeneo mbalimbali mjini humo ambapo wakazi na wafanyibiashara wanaweza kutupa takataka.Meneja wa mji huo Josphine Sane alitahadharisha wakazi na wafayibiashaa dhidi ya kutupa takataka ovyo ovyo akisema hatua hiyo ni tisho kwa afya yao. Alisema kanuni hiyo mpya itawawajibisha wale wote watakaonaswa wakitupa takataka kiholela.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive