Wakaazi wa Tana River wakumbwa na uhaba wa maji baada ya mafuriko kubomoa mabomba ya maji

  • | Citizen TV
    17 views

    Wakaazi wa Madogo na viunga vyake katika kaunti ya Tana River wamekumbwa na uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitano baada ya mafuriko kubomoa mabomba ya maji ya kuelekea vijiji hivyo