Shughuli zatatizwa katika mpaka wa kaunti za Kisii na Nyamira

  • | Citizen TV
    323 views

    Shughuli za kawaida zilitatizika mapema leo katika soko la Ting'a kwenye mpaka wa Kisii na Nyamira. Hii ni kufuatia mzozo kuhusiana na mpaka huu, ambapo pande zote zinadai umiliki wa soko la hospitali iliyoko karibu.