Wanafunzi 21 waliofariki shuleni Endarasha kuzikwa kufikia Jumamosi

  • | Citizen TV
    593 views

    Wanafunzi 21 waliokufa moto katika shule ya Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri wanatarajiwa kuzikwa kufikia siku ya jumamosi. Hii ni katika mipangilio ya kuipa shule hiyo fursa ya kufunguliwa tena wiki ijayo. haya yanajiri huku mwanafunzi mmoja pia akifariki baada ya bweni katika shule ya upili ya wavulana sacred heart kuchomeka.